Tuesday, 28 August 2012

AROBAINI YA SUPER PATRIN KIBELLOH IN BOSTON/USA.

AROBAINI YA PATRIN KIBELLOH


Iman Kibelloh mke wa marehemu
 
ndugu na marafiki wa Massachusetts na majimbo ya jirani wakijumuika pamoja na familia ya Marehemu kwenye arobaini ya Patrin Kibelloh iliyofanyika Jumapilia Aug 26, 2012 Fox Hill Yatch Club, 147 Ballard Street, Saugus, Mass Shughuli ilipangwa kuanza saa saba mchana na kuisha saa kumi na moja jioni. Watu wengi waliomfahamu Patrin Kibelloh na familia yake walijitokeza kwa wingi.
Mkuu wa Wilaya ya Springfield, Isaac Kibodya (kulia) akipata picha ya pamoja na Abbas Byabusha kutoka New York
Mama mwenye nyumba wa Mkuu wa Wilaya ya Springfield, MA Mrs Kibodya katika picha ya pamoja na mmoja ya Watanzania waliohudhulia Arobaini ya Patrin Kobelloh iliyofanyika Jumapili Aug 26, 2012 Fox Hill Yatch Club, 147 Ballard Street, Saugus, Mass
Mkuu wa Wilaya katika picha ya pamoja na Madj waliobobea wa Massachusetts Dj Ritch (kati) na Dj Masoud (kulia)
Ustadh katika picha
Wakina mama wakijumuika pamoja kwenye Arobaini ya Patrin Kibelloh iliyofanyika Jumapili Aug 26, 2012 Fox Hill Yatch Club, 147 Ballard Street, Saugus, Mass, kushoto ni mke wa Marehemu Iman Kibelloh
Wakina mama wakihudhuria Arobaini ya Patrin Kibelloh iliyofanyika Jumapili Massachusetts.
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye arobaini ya Patrin Kibelloh katika picha ya pamoja.
Wakina mama waliojumuika pamoja kwenye arobaini ya Patrin Kibelloh wakipata chakula.
kwa picha zaidi bofya read more


Source : blog  ya  wananchi