BREAKIN NEWZZZZ!!! MADAKTARI.
TAMKO LA JUMUIYA YA MADAKTARI HILI HAPA
KAMATI YA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA
Imetolewa na Kamati ya Jumuiya ya Madaktari.
YAH: TAMKO FUPI LA JUMUIYA YA MADAKTARI KWA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 29.06.2012
Madaktari wote hatuna imani na tume
iliyoundwa na Jeshi la polisi nchini yenye lengo la kuendesha uchunguzi
juu ya kutekwa, kunyanyaswa na kupigwa vibaya kwa Dr. Ulimboka Stephen
na tunataka chombo huru kiundwe ili kupata ukweli wa tukio hilo.
Pia tunakemea na kuonya juu ya vitisho
vyote vinavyotolewa na baadhi ya watawala katika taasisi mbalimbali
dhidi ya madaktari mfano Hospitali ya Rufaa ya Dodoma, Bugando, Mbeya na
kwingineko ambapo wametishwa na kufukuzwa kwa kutumia mabavu.
Madaktari tunazidi kusisitiza kuwa
hakuna njia nyingine yeyote ya kusuluhisha mgogoro huu isipokuwa ni kwa
kutekeleza madai na hoja za msingi za madaktari kwa njia ya mazungumzo
ya dhati.
Madaktari tumechoka kuona huduma za
afya nchini zikizidi kudorora mwaka hadi mwaka, Tumechoka kuona wagonjwa
wakilala chini na watoto wakilala wanne katika kitanda kimoja Tumechoka
kuona msongamano mkubwa kwa wagonjwa katika hospitali zetu huku kukiwa
hakuna mpango wowote wa uboreshaji.
Tumechoka kuona wagonjwa wakikosa dawa,
vipimo sahihi na watumishi wa afya wakifanya kazi katika mazingira
magumu yanayoviza ubora wa huduma na misingi ya taaluma.
Kwa hiyo, kwa moyo wetu leo tumejitolea kutetea uboreshaji wa sekta ya afya licha ya vitisho tunavyoendelea kuvipata.
Rai kwa Madaktari; Madaktari wote kuwa
watulivu katika kipindi hiki kigumu, tunashukuru madaktari wote kwa
ushirikiano na kuendelea na mshikamano.
Imetolewa na Kamati ya Jumuiya ya Madaktari.
Global Korea Lecture: 'Korean Culture Shining Bright’ K-Music
Korean Pansori and Western Performer Training
DATE: Tuesday 3 July 2012 18.30
VENUE: Korean Cultural Centre UK
Speaker: Dr. Tara McAllister-Viel, Head of Voice
East 15 School of Acting (University of Essex)
Celebrating
our 2012 summer festival, ‘All Eyes on Korea’, Korean Cultural Centre
UK is hosting a series of lectures to support and compliment our
programme of events. For this, Music lecturer Dr. Tara McAllister-Viel
will have talks on P’ansori, Korean traditional musical drama.
P’ansori
is a unique form of art, which is unfamiliar in the west. Like the
‘blues’ sound which is linked to particular types of emotions the ‘sori’
of P’ansori is well suited for the performance representation of ‘han,’
or ‘grief.’ Furthermore, today’s P’ansori artists continue to
experiment with forms and creating intercultural performances from
standard Korean texts in translation, or developing original P’ansori
story-songs that address modern topics.
Dr.
Tara McAllister-viel will share her experience of implementing the
Korean traditional vocal art form, P’ansori into an original voice
curriculum. This lecture introduces key principles and practices of
Korean P’ansori and contrasts the styles of vocal training and
performance with Western actor training. The lecture will result in a
better understanding of the rich traditions of P’ansori, as well as
offering a glimpse at the exciting developments in this evolving art
form.
Please send us your RSVP to info@kccuk.org.uk or Phone 0207 004 2600
*
Dr. Tara McAllister-Viel is Head of Voice at East 15 School of Acting
(University of Exeter). Previously, she was Visiting Professor-Voice at
The Korean National University of Arts, School of Drama, (Seoul, Korea)
leading the voice programmes for the graduate and undergraduate
conservatoire acting courses. Over the course of four years, Tara
designed and implemented original voice curriculum integrating Western
voice training with a Korean traditional P’ansori. She studied privately
with Human Cultural Treasures Han Nong Son and Song Uhyang.