Friday 19 March 2021

 






s17: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan

akiongea baada ya kuapa Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2021

s18:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akiongoza Baraza la Mawaziri kwa Mara ya Kwanza baada ya kuapa Ikulu
jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2021

s19 ma s20: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu
Hassan akiongoza kuomba dua alipokwenda kumpa pole Mama Janeth
Magufuli mara tu baada ya kuapa Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi
19, 2021
Pamoja naye ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ally na Binti wa
Marehemu Rais Dkt John Pombe Magufuli