![]()  | 
| Baadhi ya washiriki wa zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro. | 
![]()  | 
| Mkuu wa majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara akizungumza katika hafla hiyo. | 
![]()  | 
| Baadhi ya wapandaji. | 
![]()  | 
| Mhifadhi Mkuu ,Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,( KINAPA) akizungumza wakati wa hafla hiyo. | 
![]()  | 
| Washiriki. | 
![]()  | 
| Afisa Masoko wa KINAPA,Antypas Mgungusi akieleza jambo wakati wa hafala hiyo. | 
![]()  | 
| Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya Utalii,Balozi Charles Sanga ni mingoni mwa washiriki wa zoezi hilo la kupanda mlima Kilimanjaro. | 
![]()  | 
| Mhifadhi mkuu KINAPA,Erastus Lufunguro akiongozana na mgeni rasmi kwa ajili ya kukabidhi bendera kwa wapandaji mlima hao. | 
![]()  | 
| Mgeni rasmi katika hafla hiyo ,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi,Fulgence Mponji akikabidhi bendera kwa Mkuu wa majeshi mstaafu ,Jenerali George Waitara ambaye ndiye kiongozi wa msafara huo. | 
![]()  | 
| Washiriki wakijiandaa kuanza safari. | 
![]()  | 
| Safari ya kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro ikaanza kwa maafisa 24 wa JWTZ . Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kada ya Kaskazini (0755659929).  | 

















