Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi na skwadi yake wako tayari kufanya shoo ya kufa mtu kwenye kiota cha maraha jijini Oslo, Skuret Konsertscene, Jumamosi hii. Mambo yataanza saa nne usiku. Sasa wabongo waishio Oslo kazi kwenu, habari ndio hiyo! Wanamuziki wa Ras Nas ni Aris Milongo (Congo), Uriel Seri (Ivory Coast), Chuck Frazier (Texas), Dag Pierre (Sweden) na Thomas Langvann (Norway). Vile vile atakuwepo Dj Dominic (UK) akikwaruza santuri kabla na baada ya shoo.Ubuntu-it's a word describing an African worldview, which translates as "I am because you are," and which means that individuals need other people to be fulfilled. And that is what this blog is all about.My contact details are: Ayoub Mzee- Tel +447960811614, email: swahilidiaries@yahoo.co.uk. Alternatively you can watch my program- swahili diaries on BEN TV SKY 184 or www.bentelevision.com every week Tuesdays at 10pm and Sundays at 10AM. Enjoy News stories in Photographs
Saturday, 4 September 2010
Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi na skwadi yake wako tayari kufanya shoo ya kufa mtu kwenye kiota cha maraha jijini Oslo, Skuret Konsertscene, Jumamosi hii. Mambo yataanza saa nne usiku. Sasa wabongo waishio Oslo kazi kwenu, habari ndio hiyo! Wanamuziki wa Ras Nas ni Aris Milongo (Congo), Uriel Seri (Ivory Coast), Chuck Frazier (Texas), Dag Pierre (Sweden) na Thomas Langvann (Norway). Vile vile atakuwepo Dj Dominic (UK) akikwaruza santuri kabla na baada ya shoo.