Mary Joseph- Mara
Tausi wa Vodacom Miss Tanzania 2009
Pichani ni baadhi ya Vimwana vinavyoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 wakiwa katika pozi mwanana muda mfupi baada ya kuwasili rasmi kambini leo mchana Ndani ya Geraffe jijini Dar es Salaam.Picha na Ahmed Michuzi